Wednesday, 29 February 2012

Picha: Duniani ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni

  • Jamaa anusa (mashuzi) makalio ya wanawake Marekani
Roman Shusterman  ni raia wa nchini Marekani ambaye anakuwa akipita mitaani kutafuta watu na kuwataka kuwanusa makalio yao.










Video:

Injili ya kale iliyogunduliwa nchini Uturuki yaonesha utabiri wa kudhihiri Mtume Muhammad SAW



Nakala ya Injili ya miaka 1500 iliyopita na ambayo imepatikana tena katika kanisa moja nchini Uturuki baada ya kupotea kwa muda wa miaka 12, ina utabiri wa kuja Mtume wa Uislamu, Nabii Muhammad SAW baada ya Masihi Issa yaani Yesu AS.

Vyombo vya habari vimeripoti kuwa, nakala hiyo ya zamani sana ya Injili imeandikwa kwa lugha ya Kiarami na vyombo vya habari vinasema kuwa, ilikuwa imefichwa kwa muda wa miaka 12.

Tayari viongozi wa Vatican wameonesha hamu kubwa ya kuipata Injili hiyo na Papa Benedict wa 16 ametoa mwito wa kufanyiwa uchunguzi maandishi ya Injili hiyo.

Kwa upande wake, Waziri wa Utamaduni wa Uturuki, Ertuğrul Günay amesema kuwa, bei ya Injili hiyo ni dola milioni 22 za Kimarekani na kwa vile utabiri wa kuja Mtume Muhammad SAW unapatikana kwenye Injili hiyo yenye lugha ya Nabii Issa AS, ilikuwa imefichwa ili watu wasiione.

Amesema maneno yaliyomo kwenye Injili hiyo ya miaka 1500 iliyopita yanafanana sana na maneno ya Qur'ani Tukufu na kiujumla maneno yake yanakaribiana sana na mafundisho ya Uislamu.

Sehemu moja ya maneno yaliyomo kwenye Injili hiyo yanamtaja Yesu kuwa ni mwanadamu na kumnukuu Nabii huyo wa Mwenyezi Mungu akisema kuwa, Mtume atakayekuja baada yake anaitwa Muhammad. Sehemu ya maneno ya Injili hiyo ya miaka 1500 iliyopita yana maana isemayo: Kuhani mmoja alimuuliza Masihi Yesu kuhusu mtu atakayekuja kuchukua nafasi yake na Yesu akajibu: "Muhammad (SAW) ndilo jina lake lililobarikiwa, anatoka katika kizazi cha Ismail, baba yangu Mwarabu."

Waziri wa Utamaduni wa Uturuki pia amesema, tayari Papa Benedict wa 16 ametuma maombi rasmi ya kutaka wapatiwe Injili hiyo iliyopatikana kwenye visiwa vya Uturuki vilivyoko kwenye bahari ya Mediterranean. Imeelezwa kuwa watu waliopatikana na Injili hiyo walikuwa wana nia ya kuiuza kimagendo na hivi sasa wanashikiliwa katika mahakama za Uturuki.

Wakati huo huo kasisi Ihsan Uzbek, mmoja wa viongozi waandamizi wa Kikristo nchini Urutuki amesema kuwa Injili hiyo ni ya zama za mtakatifu Barnaba aliyeishi na Nabii Issa na ambaye alikuwa mfuasi wake wa karibu.

Huko nchini Uturuki nako kumetolewa mwito wa kufanyika uchunguzi wa kitaalamu wa kuweza kujua tarehe hasa ilipoandikwa Injili hiyo.

18 wauwawa katika uvamizi wa basi Pakistan


Basi lililovamiwa

Wanamgambo wa kimadhehebu waliokuwa na bunduki walilishambulia basi moja na kuwauwa watu 18 ambao ni Waislamu wa madhehebu ya Shia.

Kisa hicho kimetokea katika eneo ambalo kawaida huwa tulivu kaskazini mwa Pakistan linalopakana na ngome ya Wataliban, Swat.


Mmoja wa wananchi akionyesha tundu ya risasi katika basi hilo

Maafisa wamesema basi hilo lilisimamishwa, kabla ya abiria kuamrishwa kutoka nje na kupigwa risasi katika wilaya ya milima ya Kohistan wakati lilipokuwa safarini kutoka Rawalpindi, mji ambao ndio makao makuu ya jeshi la Pakistan, kaskazini mwa mji wa Gilgit.

Mkuu wa Polisi eneo hilo Mohammad Ilyas amesema watu wengine 18 walijeruhiwa. Mbunge wa eneo hilo Abdul Sattar Khan amesema inaonekana shambulio hilo lilikuwa la kimadhehebu.

Makundi ya kutetea haki za binaadamu yameishutumu serikali ya Pakistan kwa kushindwa kukabiliana na machafuko ya kimadhehebu kati ya jamii za Wasunni walio wengi na Washia walio wachache ambayo yamesababisha vifo vya maelfu nchini humo. 

Picha: Carlos Tevez aichezea Manchester City kwa mara ya kwanza katika mechi ya wachezaji wa akiba

On the ball: Tevez makes a run towards the Preston defence at Carrington
Tevez akiwa katika ulinzi wa wachezaji wa Preston katika mchezo wa wachezaji wa hakiba wakati Man City walipocheza na Preston

Carlos Tevez ameichezea Manchester City kwa mara ya kwanza tangu arejee kutoka kwao Argentina baada ya kugomea kuichezea timu hiyo kwa miezi kadhaa.

Tevez alicheza nusu ya kwanza katika mchuano maalum wa timu za wachezaji akiba kati ya Manchester City na Preston uliofanyika Jumanne jioni.

Kwa mujibu wa taarifa ya klabu hiyo Tevez alishiriki vilivyo katika mchezo.

Tevez alikorofishana na kocha Roberto Mancini baada ya kushtumiwa kwamba alikataa kucheza katika mchezo wa kati ya Manchester City ilipopambana na Bayern Munich ya Ujerumani katika mchezo wa klabu bingwa Ulaya mwezi Septemba mwaka jana.

Baadae Tevez aliamua kwenda Argentina na kukaa zaidi ya miezi mitatu nchini Argentina bila ya idhini ya klabu hiyo.

Alirejea Uingereza wiki mbili tu zilizopita baada ya kushindwa kupata uhamisho kwenda klabu yoyote wakati wa dirisha la Januari na kuomba msamaha kwa Mancini.

Return: Carlos Tevez was back in Manchester City colours for the first time since his infamous bust-up with boss Roberto Mancini
Taking a touch: Tevez, who started, returns the ball to the bench before the reserves match got underway
Head boy: Manager Roberto Mancini did not watch Tevez make his return to action
Pass and move: Tevez, wearing his favoured No 32, lays off the ball

Waliojiengua CUF waanzisha chama chao na kuomba kusajiliwa


Mwangalizi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Bi. Galasia Simbachawene (kulia) akipokea fomu za kuomba usajili wa chama kipya cha Alliance For Demokratic Change (ADC) jana Dar es Salaam


Hatimaye washirika wa Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed, wamewasilisha maombi kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kuomba kusajili chama kipya cha Alliance for Democratic Change (ADC).

Maombi hayo yaliwasilishwa jana mchana na Mwenyekiti wa muda wa chama hicho, Said Miraji Abdullah, ambaye ni mshirika wa karibu wa Hamad na Katibu Mkuu wake, Kadawi Limbu, na kupokelewa na Mwangalizi wa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Galasia Simbachawene.
Miongoni mwa nyaraka zilizoambatanishwa na barua ya maombi hayo, ni pamoja na fomu PP 2 ya tamko la maombi ya usajili, PP 1 ya maombi ya kupewa usajili, nakala ya rasimu ya katiba ya chama hicho toleo la kwanza, 2012 pamoja na stakabadhi ya malipo ya maombi.
Akipokea nyaraka hizo kwa niaba ya Msajili wa Vyama vya Siasa, John Tendwa, Simbachawene alisema zitapelekwa kwa wanasheria kwa ajili ya kupitiwa na kwamba, iwapo zitabainika kuwa zina upungufu, zitarejeshwa kwa uongozi wa chama hicho kwa ajili ya kufanyiwa marekebisho kabla ya kuwasilishwa tena kwa Ofisi ya Msajili.

Washirika wengi wa Hamad Rashid ambao baadhi walikuwa viongozi na wanachama wa kawaida wa Chama cha Wananchi (CUF) waliojiengua katika chama hicho kwa nyakati tofauti, walifika katika ofisi za msajili, huku wanachama wanawake waliovalia fulana za rangi nyeusi zenye maandishi ya rangi nyeupe yanayosomeka: ‘Anti Virus’ wakiimba kwa furaha, “Chama kipya,…chama kipya,…chama kipya.”


Miraji ambaye aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali katika Chama cha Wananchi (CUF), ikiwamo Ukurugenzi wa Ulinzi na Usalama na Umeneja wa Kampeni za mgombea urais wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba, katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, alisema wamelazimika kuanzisha ADC, baada ya vyama vilivyopo kutokuwa na uwakilishi wa wananchi.
Alisema ADC haitajali mtu yeyote kwa misingi ya dini, rangi wala kabila lake, badala yake watu wote watakuwa na nafasi sawa katika chama hicho.
Naye Limbu ambaye aligombea ubunge kwa tiketi ya CUF Jimbo la Temeke katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2010, alisema kutojiunga na vyama vingine vya siasa baada ya kujiengua CUF, kumetokana baada ya kubaini vyama hivyo havina tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa maneno mazuri, lakini yenye udanganyifu ndani yake, huku rasilimali za nchi zikiishia mikononi mwa watu wachache.

Kijana ajikata uume na kuamrisha wapelekewe wanawake wanaomgombania

Kijana Priva Elian (29) anayeishi Useri wilayani Rombo mkoani Kilimanjaro, amefyeka sehemu zake za siri na kuziondoa, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kugombaniwa na wanawake wawili. 

Baadhi ya mashuhuda walidai kijana huyo anayefanya biashara kati ya miji ya Rombo na Nairobi nchini Kenya, alifikia uamuzi huo baada ya wanawake wawili kumgombea.

Walidai kuwa alifikia uamuzi huo Februari 27, mwaka huu saa 1:30 asubuhi baada ya kupandwa na ghadhabu kutokana na usumbufu mwingi aliokuwa akiupata kutoka kwa wanawake hao.

Walieleza kuwa mara baada ya kuchukua uamuzi huo, alimwita mdogo wake ambaye hakutambulika jina na kumweleza kuwa achukue viungo hivyo na kuwapelekea wanawake hao ili wavigombee.

“Hatujui alitumia kifaa gani kujifyeka kwani kinaonesha ni kikali sana, kwani baada ya kukata sehemu hizo nyeti, alimpa mdogo wake ili awapelekee wanawake hao kwani ndicho kitu muhimu kwao na siyo yeye,” alisema mmoja wa mashuhuda wa tukio hilo la kusikitisha.

Kutokana na kuvuja damu nyingi, majeruhi huyo alipelekwa katika Hospitali ya Wilaya ya Huruma iliyopo wilayani humo akiwa amepoteza fahamu na hawezi kuzungumza. 

Juhudi za kumtafuta Mganga Mkuu wa Hosptali ya Huruma anapopatiwa matibabu majeruhi huyo, lakini simu yake ilipokelewa na daktari mwingine ambaye alikiri kupokelewa kwa mgonjwa huyo.

“Nikweli tumempokea mgonjwa huyo jana na tulimwingiza katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalumu (ICU), kutokana na hali yake kuwa mbaya sana iliyosababishwa na kuvuja damu nyingi, lakini kwa sasa amehamishwa na yupo wodini,” alisema daktari huyo ambaye hakutaka kutaja jina lake.

Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Kilimanjaro, Ramadhan Ng’anzi, alithibitisha ajali hiyo na kwamba Polisi inafanya uchunguzi ili kubaini kuwa kama wanawake hao kama ni wake wenza wa majeruhi, au mmojawapo.

Tuesday, 28 February 2012

Nimeipenda hii

Silver sensation: Jennifer arrived on the red-carpet of the Oscars showing off her incredible figure in the shimmering oyster gown, which boasted thin sheer panels and cut out sleeves Silver sensation: Jennifer arrived on the red-carpet of the Oscars showing off her incredible figure in the shimmering oyster gown, which boasted thin sheer panels and cut out sleeves
Jennifer Lopez akiwa juu ya 'Red carpet' alipowasili katika Oscar award ya mwaka huu

Picha: Jessica Simpson avaa mchuchumio huku akiwa na mimba pevu

Stacked: Heavily pregnant Jessica Simpson steps out in a pair of platform shoes to go shopping in Beverly Hills
Jessica Simpson akiwa katika harakati za Shopping katika mitaa ya Beverly Hills huko Marekani

Perseverance: Jessica joked that she will wear heels until she gives birth
Curvy girl: Jessica seemed comfortable walking in her platform heels Curvy girl: Jessica seemed comfortable walking in her platform heels
Hivi viatu na hali yake kweli vinaendana?

Monday, 27 February 2012

Kenya's Michael Kipyego wins Tokyo Marathon

     Japan Tokyo Marathon
Michael Kipyego

Michael Kipyego of Kenya surged ahead of Haile Gebrselassie with 2 1/2 miles left Sunday to win the Tokyo Marathon for his first career victory.

Kipyego completed the 26.2 miles 2 hours, 7 minutes, 37 seconds.

"I was able to close the gap on Haile," Kipyego said. "I thought I should hang back for a bit but changed my mind and pushed because there were other runners coming from behind."
   
Ethiopia's Atsede Habtamu won the women's race in 2:25:28. She was 32 seconds ahead of compatriot Yeshi Esayias. Kenya's Helena Kirop was third in 2:26:02.

Japan Tokyo Marathon
Michael Kipyego of Kenya, center, poses with his gold medal along with second-placed Japan's Arata Fujiwara, left, and third placed Uganda's Stephen Kiprotich during the award ceremony after winning the men's race of the Tokyo Marathon in Tokyo Sunday, Feb. 26, 2012.

Read more here: http://www.sacbee.com/2012/02/26/4292179_a4292197/kenyas-kipyego-wins-tokyo-marathon.html#storylink=cpy

Gebrselassie finished fourth in 2:08:17. He was trying to secure a place on the Ethiopian team for the Olympics but needed to run under 2:04 to boost his chances. Still, the 38-year-old long distance great wasn't about to give up on going to London.

"I could run another marathon in two weeks," Gebrselassie said. "I felt fantastic here for the first 30 kilometers then had some problems at the end of the race."

Japan's Arata Fujiwara was second in 2:07:48, followed by Uganda's Stephen Kiprotich in 2:07:50.
Gebrselassie has struggled in recent marathons, unable to finish the 2010 New York City Marathon and unable to race in last year's Tokyo Marathon because of an injury during training.

Gebrselassie and defending champion Hailu Mekonnen, who finished eighth in 2:09:59, broke from the pack after 16 miles, but the two Ethiopians couldn't maintain the quick pace.

"Sometimes you are too ambitious," Gebrselassie said. "This can happen. My target was 2:05 today, but it didn't work out that way. On the last downhill, I started to get some pain in my back."

Switzerland's Viktor Rothlin, who won this race with a course-record time of 2:07:23 in 2008, was fifth in 2:08:32.

Read more here: http://www.sacbee.com/2012/02/26/4292179/kenyas-kipyego-wins-tokyo-marathon.html#storylink=cpy

Kwa hali hii tutafika kweli?


Ni moja ya barabara huko mkoani Bukoba

Waliochoma Quran wachukuliwe hatua - Hamid Karzai


Hamid Karzai

Rais wa Afghanistan ametoa wito wa kufikishwa mbele ya sheria askari wa Marekani walioteketeza moto nakala za Qur'ani Tukufu siku chache zilizopita, katika kituo cha jeshi la anga la Marekani cha Bagram nchini Afghanistan.

Akizungumza katika Ikulu yake mjini Kabul hii leo, Rais Hamid Karzai amesema kuwa, wahusika wa jinai hiyo lazima wapandishwe kizimbani na kutolewa hukumu kali kwa kitendo cha kichakaramu walichokifanya. Aidha, Karzai amesema serikali yake inaunga mkono maandamano yanayoendelea nchini humo na katika uliwengu wa Kiislamu ya kulaani kitendo hicho cha kishenzi.

Wakati huohuo, Sayyid Ali Shah Geelani, kiongozi wa mrengo wa Hurriyat wa eneo la Kashmir, kaskazini magharibi mwa India amelaani kitendo hicho cha kuvunjiwa heshima matukufu ya Kiislamu na kuuawa shahidi waandamanaji nchini Afghanistan, wanaoandamana kulalamikia kitendo hicho cha kuchomwa moto nakala za Qur'ani.

Picha: Liverpool ndio mabingwa wa Carling cup

Cup of joy: Gerrard lifts lifts the Carling Cup trophy as Liverpool celebrate
Wachezaji wa Liverpool wakishangilia kombe la Carling baada ya kuifunga Cardif kwa njia ya penati

Ilikuwa mechi ya kukata na shoka iliyochezwa kwa muda wa dakika 120, na mshindi kuamuliwa kwa njia ya matuta.

Mechi ilianza kwa kasi na Liverpool ndio walikuwa wa kwanza kutishia katika goli la Cardiff, lakini Cardif walisimama imara na kujipatia goli la kuongoza mnamo dakika ya 19 lililofungwa na Joe Mason.

Bright start: Cardiff's Joe Mason casually rolled his side into the lead in the first half
Joe Mason akiipatia Cardiff goli la kuongoza

Hadi kipindi cha kwanza kinamaliza Cardiff ndio walikuwa wakiongoza kwa goli lao hilo.

Kipindi cha pili kilianza kwa kasi na kunako daikia ya 60, mlinzi wa kati wa Liverpool Martin Skrtel aliisawazishia goli timu yake kwa shuti la karibu baada ya kutokea kizaa zaa golini mwa Cardif.

Comeback: After plenty of near misses, Liverpool hit back through Martin Skrtel
Martin Skrtel akiisawazishia Liverpool goli

Hadi dakika 90 za kawaida zinamalizika timu hizo zilikuwa nguvu sawa na kulazimisha mchezo huo kuongezwa dakika nyengine 30.

Katika kipindi cha pili cha dakika za nyongeza Mshambuliaji wa Liverpool Dirk Kuyt, alieingia kuchukua nafasi Andy Carrol aliipatiaLiverpool goli la pili mnamo dakika ya 108.

Super sub: Kuyt scored within five minutes of coming on
Dirk Kuyt akishangilia goli lake na Luis Suarez

Vijana wa Cardiff hawakukata tamaa na mnamo dakika ya 118 mchezaji Ben Turner wa Cardif alilazimisha mchezo huo kufikia katika hatua ya penati baada ya kufanikiwa kusawazisha goli, kutokana na kizaazaa kilichotoke golini mwa Liverpool kutokana na kushindwa kuokoa kona.

Dramatic scenes: Ben Turner took the game to penalties
Dramatic scenes: Ben Turner took the game to penalties
Ben Turner akifunga goli la kusawazisha na kushangilia kwa kuvua jezi yake

Baada ya dakika 120 kukamilika ndipo hatua ya penati ilipofikia ambapo Liverpool walifanikiwa kufunga penati 3 zilizofungwa na Dirk Kuyt,  Glen Johnson na Downing. Waliokosa ni Steven Gerrard na Charli Adam.

Timu ya Cardiff walifanikiwa kufunga penati mbili zilizopigwa na Don Cowie na Wittingham, na wachezaji waliokosa penati ni Kenny Miller, Rudy Gestede na Anthony Gerrard.

Picha:

Atmospheric: Liverpool fans held a protest inside the ground against the launch of the Sun on Sunday
In good voice: Liverpool fans made it to Wembley despite the travel disruption caused by a derailed train
Mashabiki wa Liverpool

Underdogs: Cardiff fans will hope their side can spring a shock against Liverpool at Wembley
Mashabiki wa Cardiff

Soaking up the atmosphere: Cardiff's Malaysian chairman and owner greeted the fans before the match
Mmiliki wa Cardiff akisalimia mashabiki

Struggles: Liverpool captain Steven Gerrard failed to make an impact in a sloppy first half
Maybe, just maybe: Cardiff were well worth their lead after a spirited start
Bodies on the line: Cardiff did everything they could to stop Liverpool's danger man
Pure delight: Skrtel was mobbed by his team-mates after scoring Liverpool's first goal at the new Wembley
Wonder save: Tom Heaton stops Steven Gerrard's penalty
Gerrard akikosa penati ya kwanza ya Liverpool

Magic moment: Liverpool's players rush to celebrate their win
Magic moment: Liverpool's players rush to celebrate their win
Wachezaji wa Liverpool wakishangilia baada ya binamu yake Steven Gerrard anayechezea Cardiff Anthony Gerrard kukosa penati ya mwisho ya Cardiff na kuwapa Liverpool ushindi.

Sunday, 26 February 2012

Picha: Arsenal yaibomoa Tottenham 5 - 2 katika ligi kuu Uingereza

Pure delight: Theo Walcott helped settle a simply astonishing north London derby
Alex Song, Theo Walcott na Bacary Sagna akisheherekea moja ya magoli ya Arsenal

Timu ya Arsenal imejipatia ushindi mnono kutoka kwa mahasimu wao wa jadi Tottenham kwa kuwachapa mabao 5 - 2 katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Emirates London.

Tottenham ndio walikuwa wa kwanza kujipatia mabao mawili katika kipindi cha kwanza kwa kupitia Luis Saha na mshambuliaji alyewahi kuchezea timu ya Arsenal Emmanule Adebayor kwa njia ya penati.

Breakthrough: Louis Saha gave Tottenham the best possible start
Luis Saha akijiandaa kufunga goli la kwanza la Tottenham

Timu ya Arsenal ilizinduka katika dakika ya 40 baada ya Bacary Sagna kuifungia Arsenal goli kwanza kwa njia ya kichwa na dakika tatu baadae Robin Van Parsie aliisawazishia Arsenal goli la pili.

Mpaka timu hizo zinaenda katika mapumziko zilikuwa sare ya magoli mawili.

Kipindi cha pili kilianza kwa Arsenal kuutawala mchezo na iliwachukua dakika sita tu kujipatia goli la tatu lililofungwa na mchezaji wao kiungo Tomas Rosicky.

Czech mate: Tomas Rosicky scored his first goal at Emirates Stadium since 2010 to put the Gunners ahead
Tomas Rosicky akishangilia goli lake na la tatu la Arsenal

Theo Walcott allifungia Arsenal goli la nne na la tano katika dakika za 65 na 68.

Mchezaji wa kiungo wa Tottenham alitolewa kwa kadi ya nyekundu katika dakika ya 87 baada ya kupatiwa kadi ya pili ya njano baada ya kumfanyia rafu mlinzi wa Arsenal Vermaelen.

Controversial: Gareth Bale went over under a challenge from the goalkeeper, but contact was minimal, if at all
Gareth Bale akianguka baada ya kufanyiwa rafu na kipa wa Arsenal Szczesny

Spot on: Former Gunner Emmanuel Adebayor tucked away the subsequent penalty
Adebayo akiifungia Spurs goli la pili kwa njia ya penati

Bac in it: Bacary Sagna gave Arsenal hope with a powerful header
Bacary Sagna akiifungia Arsenal goli la kwanza

Dutch delight: Captain Robin van Persie produced a sumptuous finish to haul the scores level
Van Parsie akisawazisha goli la pili la Arsenal

Czech mate: Tomas Rosicky scored his first goal at Emirates Stadium since 2010 to put the Gunners ahead
Rosicky akifunga goli la tatu la Arsenal

Double trouble: Theo Walcott astonishing brace put the match beyond doubt
Walcott akifunga goli la nne

Double trouble: Theo Walcott astonishing brace put the match beyond doubt
Ushindi ni furaha: Walcott akishangilia moja ya magoli yake