Tuesday, 31 January 2012

Katuni: Madaktari vs Serikali

Picha: Christina Aguilera avuja damu za nanihii akiwa anaimba msibani kwa Etta James

Wet wet wet: Christina Aguilera has fake tan running down her legs as she sings at Etta James' funeral
Heartfelt: Christina gave an emotional performance at the Bishop Noel Jones City of Refuge in Gardena, California
Her idol: Aguilera sang At Last and became very emotional during her performance
Why Christina Aguilera Looked "Leaky" at Etta James Tribute

Pole Christina Aguilera, ungelikuwa umevaa inavyostahiki mambo yasingefikia kiasi hicho mpaka kuchuruzika miguuni.

Craig Bellamy achangia £1.2 million katika shule za kufundisha mpira Afrika

Wembley-bound: Craig Bellamy celebrates scoring against Manchester City last week
Craig Bellamy

Katika kipindi cha miaka mitano amechangia pesa kiasi cha paundi za kiingereza milioni 1.2, katika chuo kimoja cha mpira wa miguu katika mkoa wa Kono huko nchini Sierra Leone .

Giving something back: Bellamy trains with children at his academy in Sierra Leone
Giving something back: Bellamy trains with children at his academy in Sierra Leone
Bellamy akiwa na baadhi ya chipukizi wa chuo cha mpira wa miguu Sierra leone

Amber Rose amuiga Mike Tyson kuchora tattoo?

Working it: Whether or not Amber's etching is permanent, the vivacious blonde confidently showed off her new look
Amber Rose akiwa na mpenzi wake Wiz Khalifa

Look familiar? The inking was very similar to Mike Tyson's tattoo, a tribal design also located on the left hand side of his face, which wraps around his eye Look familiar? The inking was very similar to Mike Tyson's tattoo, a tribal design also located on the left hand side of his face, which wraps around his eye
Amber Rose na Tyson

Tune la leo

Naipenda Tanzania

Madaktari waliogoma kukiona Tanzania


Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Pinda

Waziri mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda ametishia kuwafukuza kazi madaktari wote wanaojihusisha na mgomo nchini Tanzania baada ya kususia kutoa huduma zao na kusababisha vifo kwa wagonjwa.

Jana waziri mkuu alikubali kukutana na madaktari wanaofanya mgomo nchini Tanzania kwa wiki kadhaa sasa, lakini akijikuta peke yake kufuatia madaktari hao kuahidi kutokea na baadae kupuuzia wito huo.

Imeelezwa kuwa hivi sasa maafisa wa muhimbili wamedai kuwepo na hali mbaya katika hospitali hiyo kwa vile madaktari hao wanakwenda kusaini vitabu na kuondoka bila kutoa huduma yoyote.

Hali hiyo pia imekumba hospitali nyingine nchini Tanzania kama vile Ocean Road maarufu kwa matibabu ya Saratani jijini dar es salaam, ambapo pia inaelezwa kwamba hakuna huduma yoyote inayotolewa.



Wiki iliyopita maafisa wa Muhimbili walitoa tamko hadharani kudai kwamba hakuna mgomo wowote unaoendelea na shughuli za matibabu zinatolewa kama kawaida.

Madaktari waliamua kugoma baada ya kuitaka Serikali kuwaongeza mishahara na huduma bora madai ambayo yametupiliwa mbali.

Mpaka sasa bado idadi kamili ya watu waliokufa kufuatia mgomo huo bado haijatolewa.

Monday, 30 January 2012

Diamond asema alikumkuta Wema Sepetu kitandani kama alivyozaliwa na rafiki yake



Share
Get the link close

Embed Code

Copied to clipboard
close

Login with your HULKSHARE account
Username:       Password:  

close

Register to HULKSHARE get an account NOW
Username:

Password:

Confirm:

Email:

close

Playlist Manager
Playlist:  
loading...


  • Loading...

Delete Playlist Play Selected || Delete Selected
close

Naseeb Abdul Jumaa a.k.a Diamond

Naseeb Abdul Jumaa a.k.a Diamond amezungumza mambo makubwa juu ya uhusiano wake wa kimapenzi na Wema Isaac Sepetu.

Akizungumza katika mahojiano maalum ndani ya ofisi ya gazeti hili, Mwenge-Bamaga, Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita, Diamond alisema kwa muda mrefu amekuwa mkimya akikwepa kuzungumzia uhusiano wake na Wema, lakini ameona sasa ni wakati wake muafaka.

Gwiji huyo wa Bongo Fleva alisema kuwa, katika kipindi cha takribani mwaka mmoja alichodumu na  Wema kwenye mapenzi, ameshuhudia matukio ya kutisha ya usaliti katika mapenzi yanayomhusu Miss Tanzania huyo wa 2006, mengi yakiwa ni mafumanizi yasiyohesabika.

“Unajua mwanzoni sikupenda kuweka hadharani mambo ya aibu ya Wema kwa sababu nilishatahadharishwa, lakini nikajifanya kichwa ngumu nikiamini kuwa angebadilika" alisema Diamond.


Wema Sepetu na michoro ya kipigo

“Nikianza na suala la kumfumania kila kukicha akisaliti penzi letu kwa wanaume wengine, nilishamfumania Wema mpaka nikachoka."

“Listi ya wanaume wa Wema ni ndefu, lakini fumanizi kiboko ni lile nililomkuta kitandani kama alivyozaliwa akifanya na rafiki yangu (staa wa filamu za Kibongo),” alisema Diamond

Mwandishi: Baada ya kumfumania ulichukua hatua gani?

Diamond: Nilimvuta pembeni nikampa kisago, aliniomba msamaha yakaisha, lakini bado aliendelea na mabwana zake.

Mwandishi: Unapomzungumzia Wema unaonekana una hasira, mbali na kumfumania amekufanyia nini kingine?

Diamond: Kinachoniuma ni kitendo cha kunitangaza kuwa ameniacha wakati mimi ndiyo nimemuacha.


Jokate

Mwandishi: Ina maana mmeachana jumla?

Diamond: Usiseme mmeachana, sema umemuacha jumla? Kusema kweli mimi na Wema yamekwisha, simtaki na wala hakuna tena mapenzi.

Mwandishi: Je, Wema akikuomba mrudiane uko tayari?

Diamond: Siyo kwamba akiniomba, ameshakuja nyumbani na watu kibao kuniomba msamaha na akalala kwangu, nilimwambia awaombe radhi mashabiki wangu kwa kunichafua ‘then’ sitakuwa na kinyongo moyoni mwangu, nitamsamehe kama binadamu lakini sijui kama tutashirikiana tena mambo ya chumbani.

Mwandishi: Kwani alipokuja kwako kukuomba msamaha akalala, hamkushiriki mambo ya chumbani?

Diamond: Acha tu, nisingependa kuzungumzia kilichotokea usiku ule, lakini kulipokucha tu, alikuja kuchukuliwa akaondoka zake.

Mwandishi: Umesema uhusiano wenu wa kimapenzi umefika kikomo, vipi kuhusu hatma ya pete ya uchumba ya shilingi milioni 3.6 uliyomvisha pale New Maisha Club Masaki, Dar mwaka jana kwani kuna taarifa kuwa ameshaivua?

Diamond: Sihitaji hiyo pete na sitamuuliza, kama mapenzi yamekwisha ataendelea kuvaa ya nini? Acha avue itamsaidia kupunguza ‘stress’.


Diamond akimvalisha pete Wema Sepetu

Mwandishi: Je, ni kweli kwamba alikufumania na Jokate?

Diamond: Namheshimu sana Jokate, sijui ningeanzia wapi kumtongoza. Aisee, asikwambie mtu, Wema alimchafua mtoto wa watu bila sababu yoyote na wivu wake wa kimapenzi. Hakuna kitu Jokate anachojuta kama kukubali kufanya video yangu kwani tukio moja tu, lilimharibia vibaya ‘future’ yake.

Katika hatua nyingine, Diamond alidai kuwa Wema ndiye aliyesababisha akakosa tuzo za muziki za Kili mwaka jana kufuatia skendo zilizokuwa zikimwandama hivyo mashabiki na wadau kumpotezea.

Alisema: “Wema alidai yeye ndiyo aliyenipaisha, lakini ukweli ni kwamba Wema alinitongoza kupitia mtandao wa kijamii wa Facebook baada ya kupata tuzo tatu za Kili mwaka juzi ‘so’ si kweli kwamba yeye ndiyo kanibeba, alinikuta nikiwa juu vibaya mno.”

Sunday, 29 January 2012

Rais wa Benin Thomas Yayi, achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Umoja wa Afrika


Thomas Boni Yayi

Viongozi 54 wa Umoja wa Afrika wamemchagua Rais wa Benin, Thomas Boni Yayi, kuwa mwenyekiti mpya wa Umoja huo kwa kipindi cha mwaka mmoja. Rais Thomas anachukua nafasi ya rais wa Guinea ya Ikweta, Teodoro Obiang Nguema.

Akipokea wadhifa huo, rais Boni Yayi, amesema nia yake ni kuhakikisha kwamba amani inarudi katika bara la Afrika.

Viongozi hao wa Umoja wa Afrika wanaokutana kwa siku mbili mjini Addis Ababa Ethiopia, kesho wanatarajiwa kumchagua mkuu wa baraza la amani na usalama wa Umoja huo kuchukua nafasi ya Jean Ping kutoka Gabon.


Jengo jipya la makao makuu ya umoja wa nchi za Afrika huko Adis Ababa

Ping anakabiliwa na ushindani mkali kutoka kwa waziri wa mambo ya ndani wa Afrika Kusini Nkosazana Dlamini-Zuma. Afrika kusini imesema inaamini Nkosazana Zuma aliyekuwa mke wa rais Jacob Zuma ana nafasi kubwa ya kuchukua kiti hicho kutoka kwa Ping aliyeteuliwa mwaka wa 2008.

Mkutano huo wa 18 wa kilele unafanyika katika makao makuu mapya ya umoja huo yaliojengwa na China mjini Adis Ababa. Kati ya maswala yatakayojadiliwa ni kuimarishwa bishara Afrika, mzozo wa Somalia, mzozo wa mafuta kati ya Sudan na Suda kusini na pia swala la viongozi kungangania madaraka.


Viongozi wakiwa katika picha ya pamoja katika mkutano wa Umoja wa nchi za Afrika

Picha: Novak Djokovic ashinda Australian Open 2012

Sealed with a kiss: Djokovic with the Australian Open trophy
Djokovic akibusu kombe lake

Novak Djokovic kutoka Serbia, Jumapili alimshinda Rafael Nadal kutoka Uhispania, katika fainalil ya mashindano ya tennis ya Australian Open, iliyofanyika mjini Melbourne.

Djokovic ambaye anaendelea kuwa mchezaji wa kiume namba moja duniani alishinda mchezo huo kwa 5-7 6-4 6-2 6-7(5/7) 7-5 ambao mchezo huo ulikamilika kwa kuchezwa seti tano.

Pambano hilo sasa limeandikishwa katika historia kama shindano ambalo limechukua muda mrefu zaidi katika historia ya mashindano ya tennis ya Open.

Ushindi huo wa tatu mfululizo katika mashindano ya Grand Slam, umemchukua Djokovic muda wa saa tano, na dakika 53.

Limeandikisha historia pia kwa kuwa pambano la muda mrefu zaidi kwa mchezaji mmoja kwa mmoja katika mashindano ya Australian Open.

Akimpongeza mpinzani wake, Djokovic alimsifu Rafael Nadal, akisema ni kati ya wachezaji bora zaidi katika historia ya tennis.

Alimpongeza pia kwa pamoja wote kuandikisha historia ya fainali ya muda mrefu zaidi, na akitumaini kwamba watakutana katika mapambano mengine siku zijazo, ila Jumapili ilikuwa haiwezekani kuwapata washindi wawili kwa pamoja.

Fainali ya kitambo ya Grand Slam iliyochukua muda mrefu zaidi ilikuwa ni mwaka 1988, mashindano ya US Open, wakati Mats Wilander, raia wa Sweden, alipomshinda Ivan Lendl, mchezaji wa

Czechoslovakia, na ambaye baadaye alibadilisha uraia na kuwa Mmarekani.

Pambano hilo lilichukua muda wa saa 4, dakika 54.

Picha za mchezo:

Incredible Hulk! Djokovic's celebrations were elaborate after a near six hour final
Djokovic akishangilia baada ya kushinda seti ya tano na kumshinda Nadal kwenye fainali

Getting shirty: Djokovic rips off his top after winning the final set 7-5 to seal the Aussie title
Akiitupa fulana yake kwa furaha

Took your time! The match was the longest ever grand slam final
Djokovic akiwa na kombe lake katika ubao unaoonyesha muda uliotumika kukamilisha mchezo mzima wa fainali. Muda huo wa masaa 5.53 ni muda ambao umevunja rekodi ya fainali zote za mashindano ya Tennis ya msahindano makubwa (Grand slams)

Rafael Nadal is dejected after losing to Novak Djokovic Rafael Nadal is dejected after losing to Novak Djokovic
Rafael Nadal akiwa na hudhuni baada ya kupoteza mchezo wa fainali kati yake na Djokovic

Clean-up job: There was a brief break in play after a brief rain flurry
Baadhi ya wahusika wa uwanja huo wa Tennis wakijaribu kukausha uwanja baada ya manyunyu kidogo ya mvua

Heartbreak: The Spaniard had plenty of support in Melbourne but couldn't hold on
Nadal katika mchezo

Heartbreak: The Spaniard had plenty of support in Melbourne but couldn't hold on
Mashabiki wa Nadal wakimshangilia

Ladies' night: Djokovic's girlfriend Jelena Ristic lends her support
Mpenzi wake Djokovic Jelena Ristic akiwa katika kushangilia

Saturday, 28 January 2012

Mchezaji wa paundi milioni 50, atimiza mwaka mmoja huku akiwa kafunga goli 5 tu



Fernando Torres alisema anahama Liverpool na kujiunga klabu kubwa barani Ulaya Chelsea. Lakini Fernando Torres inaonekana alichemsha kwa hilo, kwani inaonyesha dhahiri ya kuwa Torres alikuwa hajui ni ipi klabu kubwa barani Ulaya kati ya Liverpool na Chelsea.

Torres kama angelisema ya kuwa ameamua kujiunga Chelsea kwa sababu za kifedha na si jengine lolote, basi mashabiki wote wa mpira duniani wangelimfahamu.



Kwa bahati mbaya meneja ambaye alilipa kitita cha paundi milioni 50 za kingereza ili kupata saini yake kutoka Liverpool alifukuzwa kazi mwisho wa msimu wa 2010/2011, na Andre Villas-Boas akachaguliwa kuwa meneja mpya wa Chelsea.

Lakini kutokana na uwepo wa baadhi ya washambuliaji wengine kama Didier Drogba, Dan Sturridge, Nicolas Anelka, Solomon Kalou na Romelu Lukau kumemuweka Torres katika wakati mgumu wa kutafuta nafasi ya kuwa mshambuliaji namba moja wa Chelsea.



Baada ya Nikolas Anelka kujiunga na timu ya Shanghai Shenhua ya China, Didier Drogba na Solomon Kalou kwenda kushiriki mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika na timu yao ya Ivory coast, Fernando Torres amepata nafasi ya kuiongoza Chelsea katika safu yake ya ushambuliaji. Lakini bado inaonekanwa ya kuwa mchezaji huyo bado hajadhihirisha thamani yake kwa Chelsea.

Ikiwa tarehe 31 mwezi huu anatimiza mwaka mmoja kamili tangu Chelsea imlipie paundi za kingereza milioni 50 kwa Liverpool, mpaka sasa mchezaji huyo ameshaifungia timu yake ya Chelsea magoli matano (matatu ya Ligi kuu Uingereza na mawili katika klabu bingwa barani Ulaya).

Tangu Torres ajiunge na Chelsea nafasi yake ya kuiwakilisha timu ya taifa ya Hispania imekuwa ni hafifu na hii ni kutokana na uchache wa mechi anazocheza katika timu yake ya Chelsea.

Kwa maoni yako unafikiri Torres alikuwa sahihi kuihamia Chelsea kwa kuwa Chelsea ndio klabu kubwa barani Ulaya kuliko Liverpool au mshahara mnono aliohaidiwa na Chelsea ndio uliompelekea kufikia uamuzi wake wa kuihama Liverpool?

Nimeipenda hii


Rais wa Tanzania Mheshimiwa J M Kikwete akisalimiana na Bwana Bill Gate

Picha na Video: Manchester United yatupwa nje ya mashindano ya FA Uingereza

  • Yafungwa 2 - 1 na Liverpool


    Ubao ulivyokuwa ukisomeka katika dakika ya 90 ya mchezo


    Timu ya Liverpool kabla ya mchezo wao na Manchester united wa raundi ya nne ya mchezo wa kombe la FA kuanza


    Mashabiki wa Liverpool wakionyesha ujumbe wao kabla ya mechi yao na Manchester united kuanza, ambapo mchezo huo ulimalizika kwa Liverpool kushinda goli 2 - 1


    John Henry tajiri wa Liverpool alikuwepo uwanjani kufuatilia mchezo huo wa kombe la FA, mchezo ambao Liverpool walishinda kwa goli 2 - 1


    Meneja wa Liverpool Ken Daglish, kushoto, akisalimiana na meneja wa Manchester united Alex Ferguso, kabla ya mchezo kati ya Liverpool na Manchester utd


    Daniel Agger akiipatia Liverpool goli la kwanza katika dakika ya 21 ya mchezo



    Daniel Agger akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuipatia Liverpool goli la kwanza


    Patrice Evra akimpongeza Ji-Sung Park baada ya kuisawazishia Manchester united goli katika dakika ya 36


    Ken Daglish na Alex Ferguson wakifuatilia mchezo huo kwa makini huku wakitatizwa na muangaza wa jua na kuamua kutumia mikono yao ili kuona vizuri


    Dirk Kuyt akiipatia Liverpool goli la pili na la ushindi dhidi ya Manchester united



    Dirk Kuyt, Andy Caroll na Craig Bellamy wakishangilia goli la pili na la ushindi dhidi ya Manchester united



    Ken Daglish juu baada ya filimbi ya mwisho na Pepe Reina akishangilia na Steven Gerrard baada ya filimbi ya mwisho ya mchezo ambapo Liverpool waliibuka na ushindi wa goli 2 - 1


    Mashabiki wa Liverpool wakifurahia ushindi wa timu yao dhidi ya Manchester United