Saturday, 30 April 2011

Moroccan Official Blames Al-Qaida for Bombing

Moroccan security commission officers leave the Argna cafe, on Djemma el-Fna square in Marrakech, April 28, 2011

Morocco's interior minister says the bomb that killed 16 people in a historic square in Marrakech appears to have been the work of al-Qaida.

The minister told reporters late Friday the bomb was detonated remotely, in a style normally used by the terrorist organization.

The blast tore the facade off a two-story cafe in Jemaa el-Fna square - a bustling tourist destination in the heart of Marrakech.  Authorities say at least 10 foreigners were among the dead, many of them French citizens.

Morocco was rocked by a series of Islamist extremist attacks in 2003 that left 45 people dead, including 12 suicide bombers.

U.S. Secretary of State Hillary Clinton on Thursday described the bombing as a cowardly attack and offered U.S. assistance.

U.N. Secretary Ban Ki-moon said he was "appalled" by the bombing and said "no political objective justifies or is served by such heinous acts."

Odinga atowa wito wa kukomeshwa kwa udikteta Afrika


Waziri Mkuu wa Kenya amesema kipindi cha baada ya ukoloni barani Afrika kimeibuwa madikteta wakandamizaji na wala rushwa na ametowa wito wa kufanyika mageuzi ya kisiasa badala ya kuulaumu utawala wa ukoloni kwa matatizo yanayoendelea kulikumba bara la Afrika.

Waziri mkuu Kenya Bw. Raila Odinga

Waziri Mkuu Raila Odinga  alikuwa mgeni wa heshima katika mkutano wa chama cha MDC cha Waziri Mkuu wa Zimbabwe Morgan Tsvangirai.

Akihutubia wajumbe kiasi ya 6,000 katika mkutano huo jana usiku mjini Bulawayo huko Zimbabwe Bwana Odinga amesema madikteta wa Afrika wanatumia kisingizio cha kujenga umoja wa kitaifa kwa kutovumilia kabisa upinzani,kukandamiza wananchi wao na kung´ang´ania madaraka kinyume na sheria.

Raila Odinga ni Waziri Mkuu katika serikali ya mseto nchini Kenya ilioundwa baada ya machafuko ya umwagaji damu yaliyosababishwa na uchaguzi uliozusha utata.

Vyombo vya habari vya taifa nchini Zimbabwe hapo jana vilimshutumu Odinga kwa kuchochea umwagaji damu nchini Kenya na wamemwita kuwa mfano halisi wa uovu na ukatili.

NATO yampuuza Gaddafi



Muammar Gaddafi wa Libya

Jumuiya ya Kujihami ya Mataifa ya Magharibi  NATO imepuuza pendekezo lililotolewa na kiongozi wa Libya Kanali Muhammar Gaddafi ya kusitishwa kwa mapigano pamoja na kuwepo kwa majadiliano naye.

Akizungumza mjini Brussels afisa mmoja wa NATO amenukuliwa na shirika la habari la Uingereza Reuters akisema kuwa mashambulizi ya anga ya jumuia hiyo dhidi ya vikosi vya Kanali Gaddafi yataendelea iwapo raia wataendelea kuwa katika kitisho.

Mapema Kanali Muhammar Gaddafi alijitokeza katika televisheni ya nchi hiyo ambapo alisema kamwe hatoondoka nchini humo au kujisalimisha, lakini pia akasema yuko tayari kuingia katika majadiliano na  Jumuiya hiyo ya Kujihami ya Mataifa ya Magharibi  NATO.

Gaddafi katika hotuba yake hiyo alisema vikosi vyake vitakuwa tayari kukubaliana na hatua yoyote ya usitishwaji mapigano, lakini siyo kile alichokiita upande mmoja kuacha mapigano.Kiongozi huyo wa Libya kwa mara nyingine tena amehoji uhalali wa NATO kuingilia kati mzozo wa Libya.

Mugabe in Rome for beatification of Pope John Paul II

Zimbabwean President Robert Mugabe has arrived in Rome for the beatification of the late Pope John Paul II.
Zimbabwean President Robert Mugabe (left) arrives at Rome's Fiumicino airport with his wife Grace, 30 April
Mr Mugabe (left) arrived at Rome's Fiumicino airport with his wife Grace

An EU travel ban forbids him from visiting member states but the Vatican, where the ceremony will take place, is a sovereign state and not in the EU.

Mr Mugabe, a Roman Catholic, has been allowed to transit through Italy.Despite the travel ban, Mr Mugabe went to Rome for the funeral of John Paul II in 2005 and for UN food agency conferences in 2008 and 2009. The sanction on Mr Mugabe was imposed in 2002 over human rights abuses.

Italy's foreign ministry said it had requested an exemption from the EU travel ban for Mr Mugabe.
A Vatican spokesman said Mr Mugabe had not been personally invited but as the head of a state with which the Vatican has relations he was entitled to attend.

In all, 22 world leaders will be in Rome to celebrate the beatification of the Polish-born Pope.
A Vatican spokesman said 87 international delegations had so far indicated they would be attending Sunday's solemn ceremony in St Peter's Square.

Hundreds of thousands of pilgrims - including up to a quarter of a million from Poland alone - are expected to cram the square.

Two dead and 50 injured after packed coach and lorry collide on the M11 UK

Two people have been killed and 50 injured in a horror crash between a coach carrying holiday makers and a lorry on the M11 this morning.

The crash happened shortly after 2am between junction eight and 10 of the M11 near Newport in Essex, causing the usually busy road to be closed in both directions.
An elderly lady reportedly died at the scene after being trapped in the back of the bus which had been carrying 49 passengers. The driver of a truck also died.
Tragedy: A crane removes the wreckage of a lorry which collided with a coach on the M11 this morning, killing two and injuring up to 50
Tragedy: A crane removes the wreckage of a lorry which collided with a coach on the M11 this morning, killing two and injuring up to 50

The coach had been travelling southbound along the motorway. It is believed that the vehicle was carrying holidaymakers to Dover for a bank holiday getaway.

The HGV rolled down an embankment with the driver trapped and the coach was upright on the hard shoulder of the motorway with severe damage to its side and rear.
Emergency services rushed to the scene between junction eight for Stansted Airport and junction 10 for Duxford at around 2.20am this morning.

Crash: Rescue workers use a crane to haul up the lorry's trailer which had overturned down an embankment next to the motorway
Crash: Rescue workers use a crane to haul up the lorry's trailer which had overturned down an embankment next to the motorway

Accident: The usually busy motorway was closed in both directions as emergency services converged on the scene between junction eight and 10 this morning
Accident: The usually busy motorway was closed in both directions as emergency services converged on the scene between junction eight and 10 this morning

Police confirmed that a passenger in the coach had died along with the driver of the lorry.
Four other passengers in the coach were rushed to hospital while other walking wounded were were transferred to the nearby Princess Alexander Hospital by bus.Three people are currently being treated for back injuries.

Wanosadikiwa ugaidi wapandishwa kizimbani Ujerumani

al-qaida-arrests germany

Watu watatu wanaoshukiwa kuwa magaidi ambao walikamatwa nchini Ujerumani hapo jana wanafikishwa kwa mara ya kwanza mahakamani hii leo.Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ujerumani Hans-Peter Friedrich amesema kukamatwa kwa ni kuzima kitendo cha dhahiri na cha hatari cha kigaidi.

Watu hao wameishi nchini Ujerumani kwa muda mrefu ambao wawili ni wenye asili ya Moroko na mmoja Iran, na inaaminika wana mawasiliano ya karibu na wanachama wa ngazi ya juu wa mtandao wa kigaidi wa al-Qaida.

Walikamatwa jana katika miji ya Düsseldorf na Bochum wakishukiwa kuwa katika matayarisho ya kutengeneza bomu.Inaaminika kuwa watu hao hawakuwa wamechagua eneo maalum la kufanya shambulio lao.

Wapelelezi wamesema waliamua kuwakamata hapo jana ili kuwazuia kufanya jaribio la kuripua bomu ambalo walipanga kulifanya jana usiku.

Wanamgambo wa Taliban waonya


Wanamgambo wa Taliban leo wametangaza kuanza kwa mfululizo wa mashambulizi nchini Afghanistan.Taliban wameonya kuwa katika mashambulizi yao hayo wanapanga kuyalenga majeshi ya kigeni halikadhalika yale ya serikali ya Afghanistan na maafisa wa serikali kote nchini humo.

Katika taarifa yao hiyo Taliban wamewaonya raia wa Afghanistan kujiepusha na mikusanyiko ya hadhara, kuwa karibu na kambi za kijeshi pamoja na misafara ya kijeshi halikadhalika kutokaribia majengo na vituo vya serikali, kwani mashambulizi yao hayo huenda yakalenga maeneo hayo.

Taarifa hiyo ya Taliban imekuja siku moja tu baada ya maafisa wa kijeshi wa ngazi ya juu na wanadiplomasia wa nchi za magharibi kuonya kuwa wanategemea kuongezeka  kwa mashambulizi ya wanamgambo hao wiki ijayo.

Vikwazo vyawekwa Syria na jumuiya za kimataifa

Jumuiya ya kimataifa imeanza kuchukua hatua dhidi yaSyria inayotumia nguvu dhidi ya waandamanaji wanaoipinga serikali nchini humo.

 syria protests

Kimsingi, Umoja wa Ulaya, umekubali kuweka vikwazo vya silaha dhidi ya Syria. Nae Rais wa Marekani Barack Obama ameidhinisha vikwazo dhidi ya shirika la upelelezi la Syria na jamaa wa Rais wa Syria Bashar al-Assad.

Katika mji mkuu wa Ujerumani Berlin, Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani imewaonya raia wa Ujerumani kutosafiri kwenda Syria kwa sababu ya machafuko yanayozidi kushika kasi nchini humo. Vile vile Wajerumani walioko nchini humo, wameshauriwa kuondoka wakati ambapo bado inawezekana kufanya hivyo kwa usalama.

Wakati huo huo, nchini Syria, waandamanaji hiyo jana, walimiminika barabarani, baada ya sala ya Ijumaa. Vikosi vya usalama mara nyingine, vilitumia nguvu dhidi ya waandamanaji hao. Kwa mujibu wa shirika la haki za binadamu la Syria, takriban watu 48 wameuawa wakati wa maandamano katika sehemu mbali mbali nchini humo.

Gaddafi ataka mazungumzo na NATO

Kiongozi wa Libya, Kanali Gaddafi, ametoa wito kwa Nato kwamba kufanywe mazungumzo ili kusimamisha mashambulio ya ndege za umoja huo dhidi ya nchi yake.
Katika hotuba iliyotangazwa kwenye televisheni, Kanali Gaddafi alisema yeye yuko tayari kusimamisha mapigano ikiwa itakubaliwa na pande zote.
Mlibya anatazama hotuba ya Kanali Gaddafi

Katika hotuba yake Jumamosi asubuhi, kiongozi wa Libya alisema yuko tayari kutoa amri kuwa mapigano yasitishwe na kuanza mazungumzo, endapo NATO itaacha mashambulio ya mabomu.

Lakini alikataa lile dai kubwa la wapiganaji na jumuiya ya kimataifa, kwamba yeye aondoke. Alisema hatong'atuka wala kuihama Libya.

Wengi serikalini wanaona kuwa wameshakaribisha mazungumzo kwa kukubali mpago wa Umoja wa Afrika wa kurejesha amani; lakini wanahisi upinzani ndio hautaki kumaliza mapigano, kwa sababu unakataa kuzungumza na serikali ya Kanali Gaddafi.

Alipokuwa Kanali Gaddafi anazungumza, NATO ilidondosha makombora matatu mjini Tripoli, kwenye yale yaliyoonekana kama majengo ya serikali.

Hotuba ya Kanali Gaddafi, ilikuwa mchanganyiko wa kukaza na kulegeza kamba.
Alisema kila mwananchi wa Libya sasa anakabili mambo mawili : uhuru ama kifo.
Hakuna kusalliam amri, hakuna hofu wala kuondoka.

Mambo ya kofia's

Ni baadhi ya kofia za wanawake katika familia za kifalme

Malkia Elizabeth II















Mambo ya famila za kifalme, warembo lazima wapendeze kwa kofia za kila staili.

Nunua Bongo Movies online

Nunua michezo ya kitanzania kutoka katika tovuti ifuatayo:




Any information contact us:
                                        swahilispeakers@gmail.com

Friday, 29 April 2011

Like father like son

 
Prince William and Kate Middleton                     Prince Charles and Princess Diana

Vikosi vya Outtara vyauwa mshirika wake


Mmojapo wa viongozi maarufu wa makundi ya waasi nchini Ivory Coast ameuawa na vikosi vya Rais mpya wa nchi Alassane Ouattara.

Kiongozi wa kundi lijulikanalo kama ”Invisible Commandos” Ibrahim Coulibaly, aliuawa katika shambulio la jumatano kwa mujibu wa msemaji wa Wizara ya Ulinzi.

Vikosi vya Bw.Coulibaly vilimsaidia Bw.Outtara katika juhudi za kudhibiti sehemu za mji mkuu Abidjan wakati wa mgogoro wa hivi karibuni.

Coulibaly ameshiriki majaribio kadhaa ya kuipindua serikali katika kipindi cha miaka kumi iliyopita. Mwaka 2002 alikuwa chachu katika mgogoro ulioigawa nchi mapande mawili hadi vikosi vya Bw.Outtara vilipompindua aliyekuwa Rais Laurent Gbagbo majuma mawili yaliyopita.

Akiwa mwenye umri wa miaka 47 na maarufu kama ”IB” alikua mlinzi mkuu wa Bw.Outtara lakini hakutaka kusalimisha silaha zake akitaka kama wadadisi wengi walivyodhani akisubiri mchango wake katika vita vya kumuondoa Gbagbo ukubalike. Mwandishi wa BBC mjini Abidjan, John James anasema kuwa kifo cha Bw.Coulibaly kitaondoa uwezekano wa kutokea kwa ghasia na kuikosesha utulivu serikali mpya.

Hata hivyo mwandishi wetu anasema kuwa mvutano wa ndani miongoni mwa washirika kutoka makundi ya wababe wa vita uliomuweka Rais Outtara madarakani bado unaleta wasiwasi.

Msemaji wa Wizara ya Ulinzi Capt Leon Alla Kouakou alielezea shirika la habari AFP kuwa aliiteka familia moja kufuatia hatua ya vikosi vya Bw.Outtara kumtaka asalimishe silaha zake.

Vikosi vya Ouattara vilipofyatua risasi za kumuonya alijibu kwa kutumia silaha nzito na walipojibizana kwa moto ndipo akauawa pamoja na wapambe wake.

Serikali ilipoteza askari wawili na Bw.Coulibaly kuuawa na wapiganaji wake sita katika mapigano yaliyofanyika katika kitongoji cha mji mkuu Abidjan kijulikanacho kama PK18 katika wilaya ya Abobo.

Raza awakoromea wasiotaka muungano

Aliyekuwa Mshauri wa Rais Zanzibar, Mohammed Raza, amesema asiyetaka Muungano sio mwana halali wa Zanzibar, kwa vile umesaidia kujenga umoja wa kitaifa na udugu kati ya wananchi wa Zanzibar na Tanzania Bara.

Alisema hayo alipozungumza na waandishi wa habari, mjini Zanzibar jana. “Asiyetaka Muungano sio mwana halali. Na bahati mbaya wanaokataa Muungano hawafahamu faida ya kuwa na umoja,” alisema Raza. 
Hata hivyo, alisema Zanzibar kama mdau mkuu wa Muungano, ni vizuri muswada wa kuweka utaratibu wa marekebisho ya Katiba ukapitishwa na wabunge kwa kuzingatia theluthi mbili ya wabunge kutoka kila upande wa Muungano. 

Aliwataka wabunge wa Zanzibar kutokubali muswada huo kupitishwa kwa wingi wa kura za wabunge, kwa vile wabunge wa Zanzibar ni wachache ukilinganisha na wa Tanzania Bara. Aidha, aliwataka Wazanzibari kujenga hoja wakati wa mjadala wa Katiba mpya utakapofika na kuondoa woga na kuwa wakweli katika kutetea maslahi ya Zanzibar ndani ya Muungano.  “Wakati wa kuzungumza maslahi ya nchi mbili tuzungumze hoja na tuondoe woga na tuwe wakweli Zanzibar tunapenda Muungano. Tusitukane. Tuondoe jazba,” alisema.

 Aliwataka viongozi wa dini kufanya kazi ya kuwaombea dua watendaji ili watayarishe muswada mzuri, utakaoleta maslahi ya pande zote mbili za Muungano. 
Hata hivyo, alisema matatizo yaliyofikia Zanzibar katika Muungano, yamesababishwa na unafiki wa watendaji ndani ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanziba (SMZ). 

“Matatizo yaliyotufika Zanzibar yanatokana na unafiki wa sisi Wazanzibari. Tusiwabebeshe mzigo wa lawama wenzetu wa Tanzania Bara na kukwepa udhaifu wetu,” alisema Raza.

Royal wedding kiss

Mambo yalivyokuwa katika Balcony ya Buckingham Palace leo.

Polisi wa Uganda wauwa mmoja katika kupinga waandamanaji

Rioters burn tyres and wood in the capital city Kampala, Uganda, Friday 29 April 2011

Shuhuda mmoja amesema polisi nchini Uganda wameua mtu mmoja walipokuwa wakiwatawanya waandamanaji kupinga kukamatwa kwa kiongozi wa upinzani Bw. Kizza Basigye.
Ugandan protesters are made to lie down on the road after their arrest by Ugandan police in Kampala, Friday 29 April 2011
Waandamanaji chini ya ulinzi

Habari zilizopatikana kupitia Red Cross zinasema kuwa watu wengine wapatao 64 wamejuruhiwa katika tukio hilo. Shuhuda mmoja amesema kuwa waandamanaji nao walikuwa wakichoma matairi ya gari na kuzuia njia.
Waandamanaji wakichoma moto matairi kuzuia barabara

Basigye alikamtwa siku ya Alhamisi ikiwa ni mara ya nne kwa mwezi huu. Video moja imeonyesha jinsi polisi walivyovamia gari ya kiongozi huyo na kutumia gesi ya kutoa machozi dhidi ya kiongozi huyo kabla ya kumfikisha korokoroni.
Uganda's Forum for Democratic Change leader Kizza Besigye (2nd L) is arrested by plainclothes policemen in the capital Kampala, 28 April 2011
Dr Basigye chini ya ulinzi

Kiongozi huyo alianzisha kampeni ya "walk to work" ili kupinga bei ya juu ya vyakula na mafuta.

Raisi wa Uganda Mh Yoweri Museveni amesema hakubaliani na maandamano hayo. Kwa hiyo polisi wako imara kutumia nguvu kuzuia maandamano hayo popote yatakapotokea.

Rioters sit on the back of a police truck after their arrest in Kampala, Friday, April 29, 2011 after riots broke out
Baadhi ya waandamanaji chini ya ulinzi wa polisi

Obama aomboleza maafa ya Alabama

Rais Barack Obama amesema serikali yake itafanya kila juhudi kusaidia wakaazi wa jimbo la Alabama kufuatia athari za dhoruba kali na kimbunga.

Zaidi ya watu 280 wameuawa na uharibifu mkubwa umefanyika katika jimbo hilo la kusini mwa Marekani.
Serikali imetangaza hali ya hatari katika eneo hilo ambako watu wamelazimika kuondoka kwenye makaazi yao.


Maafa na uharibifu pia yametokea katika majimbo ya Tennessee, Mississippi, Georgia na Virginia.
Rais Obama amesema ataelekea Alabama kuugana na familia za walioathirika na makundi yanayotoa misaada ya dharura kwa wakaazi wa eneo hilo.


Shirika la kitaifa la kutabiri hali ya hewa nchini Marekani, limesema eneo hilo la kusini mwa marekani limepigwa na msururu wa vimbunga 300 tangu ijumaa wiki iliopita. Vimbunga venye nguvu zaidi vilipiga jumatano wiki hii.


Kufikia jana zaidi ya watu milioni moja walikuwa hawana huduma za umeme.
Wanajeshi 2,000 wametumwa kusaidia katika harakati za uokozi.

Picha ya leo

Newlyweds ... couple are now the Duke and Duchess of Cambridge
The Duke & Duchess of Cambridge

Balcony kisses seal royal wedding

The couple kiss

Prince William and his newly titled bride, the Duchess of Cambridge, kiss on the balcony of Buckingham Palace, watched by thousands of cheering well-wishers.

Hatimae Prince William awacha ukapera

Prince William leo amemuoa mchumba wake Kate Middleton katika kanisa la Westminster Abbey.
Kama waalikwa 1900 walishuhudia tukio hilo la kihistoria na mamilioni wakitizama kwenye television.



The Prince of Wales and the Duchess of Cornwall
Baba na mama wa bwana harusi wakielekea kanisani

The Queen arrives at Westminster Abbey
Malkia Elizabeth II akifika kanisani (bibi yake bwana harusi)

Kate Middleton arrives at Westminster Abbey
Bibi harusi na baba yake wakielekea kanisani

Kate Middleton arrives at Westminster Abbey
Bi harusi na baba yake wakiingia kanisani

Prince William and Kate exchange vows in Westminster Abbey
Ndoa ikiendelea

Prince William and his wfie, the newly-titled Duchess of Cambridge
Baada ya ndoa, sasa ni Mr. & Mrs

In their carriage
Mke na mume wakielekea Buckingham Palace baada ya ndoa

Hatimae Palestina wakubaliana kuondoa tofauti zao

Makundi mawili makuu ya Palestina Fatah na Hamas yameafikiana kuunda serikali ya mpito ya muungano na kutayarisha uchaguzi.
Azzam al-Ahmad (kushoto), mkuu wa  Fatah, na Mousa Abu Marzook, afisa mwandamizi wa Hamas, wakizungumza na waandishi habari baada ya rais Mahmoud Abbas kutangaza makubaliano  mepya. 
Azzam al-Ahmad (kushoto), mkuu wa Fatah, na Mousa Abu Marzook, afisa mwandamizi wa Hamas, wakizungumza na waandishi habari baada ya rais Mahmoud Abbas kutangaza makubaliano mepya."Nina amini itawasaidia wananchi wa Palestina na huwenda itakuwa hatua muhimu kuelekea malengo yetu ya kitaifa", amesema HUssam Khader

Kundi la Fatah linalotawala Ukingo wa Magharibi na wahasimu wao wanaharakati wa kislamu wa Hamas wanaodhibiti Gaza wamesema walifikia makubaliano hayo wakati wa majadiliano ya siri huko Cairo.
Bila ya kuchelewa Israel imejibu kwa tangazo lililoshtusha wengi, lililotolewa na waziri mkuu Benjamin Netanyahu kwenye televisheni ya Israel.

Bw Netanyahu anasema rais wa mamlaka ya Wapalestina Mahamoud Abbas analazimika kuchaguwa kati ya amani na Israel au amani na Hamas, ambao anasema wanajaribu kuitokomeza Israel. Kiongozi huyo wa Israel anasema wazo tu la upatanishi, linaonesha udhaifu wa utawala wa Palestina ambao Hamas inaweza kuchukuwa udhibiti wa Ukingo wa Magharibi.

Makubaliano hayo huwenda yakatiwa saini katika siku chache zijazo. Maandamano ya hivi karibuni kwenye Ukingo wa Magharibi na Gaza yamekuwa yakitoa wito wa kukomeshwa ugomvi kati ya makundi hayo mawili.

Wapalestina wengi wanaamini uwongozi ulogawika unawazuia kukabiliana vilivyo na Israel, kumaliza ukaliaji wa ukingo wa magharibi na kuundwa kwa taifa la wapalestina.

Hussam Khader kiongozi wa fatah katika mji wa Nablus huko ukingo wa magharibi anasema,"nina amini itawasaidia wananchi wa Palestina na huwenda itakuwa hatua muhimu kuelekea malengo yetu ya kitaifa".
Hata hivyo kuna shaka ikiwa mkataba utaweza kupelekea upatanishi. Fatah kundi la wastani ambalo limekuwa  likijadiliana na Israel. Katiba ya Hamas inataka kuangamizwataifa la wayahudi.

Khader anakumbusha jinsi majaribniyo yaliyopita ya upatanishi yalivyoshindwa na mara nyingine kupelekea ghasia akisema, "tatizo ni kubwa, kubwa mno, na kuna mwanya mkubwa wa kisiasa kati ya Fatah na Hamas, kuhusiana na muelekeo wa vita vya ukombozi".

Makubaliano hayo yaliyofikiwa kupitia upatanishi wa serikali ya mpito ya Misri inayochukuliwa na wapalestina kuwa inaunga mkono zaidi vita vyao kuliko rais aliyepinduliwa Hosni Mubarak.
Lakini Hillel Frisch mtafiti wa cheo cha juu katika kituo cha taaluma ya mikakati ya Begin Sadat karibu na Tel Aviv anahoji ikiwa uungaji mkono wa misri pekee unatosha.

"Hii si taifa la Misri chini ya Mubarak, Hii ni Misri iliyodhaifu.Hakuna aliye na uhakika Misri inaelekea wapi. Ni kweli Misri, kupitia waziri mpya wa mambo ya nchi za nje anazungumza kwa sauti tofauti, sauti ambayo inaunga mkono kwa nguvu wapalestina, lakini taifa linalomuunga mkono ni dhaifu zaidi.

Hamas walishinda viti vingi katika bunge la Palestina 2006. Mwaka ulofuata wanaharakati wa Hamas waliwafukuza Fatah kutoka Ukanda wa Gaza baada ya mapambano mkali ya wiki nzima.

Barack Obama pledges to help US tornadoes recovery

President Barack Obama has said the US government will do everything it can to help communities recover from devastating tornadoes that have killed at least 280 people in the south-east. At least 194 people died in Alabama, where Mr Obama will visit on Friday.

The president hailed rescue workers and said he stood with every American affected by the "catastrophic" storms.

A state of emergency has been declared in seven states, and federal aid money is being sent to Alabama.
Deaths and widespread devastation are also reported in Tennessee, Mississippi, Georgia and Virginia.

Carnage: Residents survey the destruction after a tornado hit Pratt City, Alabama, just north of downtown Birmingham, Alabama, on Wednesday
What's left: Homes and businesses along McFarland Boulevard are completely destroyed in Tuscaloosa, Alabama
Remains: Residents survey the destruction after a tornado hit Pratt City. A wave of severe storms laced with tornadoes strafed the South
Trapped: Rescue workers search for casualties after the deadly tornado touched down in Birmingham, Alabama on Wednesday
Funnel: A tornado moves through Tuscaloosa on Wednesday. A wave of severe storms splintering buildings across parts of the Alabama university town
Sunlight: Homes and businesses are completely destroyed along 15th St. in Tuscaloosa, Alabama
Get ready: A funnel cloud approaches Tuscaloosa, where widespread damage occurred from the storm
Scene of destruction: A car lies overturns and buildings destroyed in Tuscaloosa
Emotional: Michael Dunn is hugged by his mother Patricia Dunn as they stand in the road that led to his house which was completely destroyed after a tornado touched down on Wednesady in Concord, Alabama
Disbelief: Tamisha Cunningham, who suffered a leg injury when her home was destroyed by a tornado, looks over the devastating scene while waiting for medical care, near Athens, Alabama
Searching: A woman sifts through the destruction of a former T Mobile office after a tornado struck on Wednesday in Tuscaloosa

A storm which brought severe weather to the South earlier this week has moved east at the same time a cold front moved across the Deep South - producing conditions conducive for tornadoes. The worst tornado outbreak in the U.S. was in April 1974, when 148 hit 13 states over a 16-hour period. Some 330 people were killed in the storms and a total of 267 tornadoes hit the U.S. in the month