Mchango wako unahitajika kuchangia kununua hili Temple na kulifanya kuwa shule ya kiislamu hapo Leicester mjini (Leicester Town Centre).
Jengo lina sehemu kubwa kabisa (Hall) ya kufanya msikiti.
Inshaallah tukifanikiwa itakuwa ndio msikiti wa kwanza kuwa Town Centre hapa Leicester.
Toa kwa ajili ya Allah, chochote utakachotoa ni sawa na sadakat jariya kwani malipo yake yataendelea hata kama utakuwa umetangulia mbele ya haki. Jazakallah Khayr
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana nasi: madrasatulnoor.01@gmail.com
Wednesday, 18 July 2012
Nelson Mandela atimiza miaka 94
Aliyekuwa Rais wa Marekani Bill Clinton alipomtembelea aliyekuwa Rais wa Afrika ya Kusini hapo jana huko nyumbani kwake Qunu, South Africa's Eastern Cape Province.
Bwana Nelson Mandela leo (18th July 2012) ametimiza miaka 94 ya kuzaliwa.
No comments:
Post a Comment