Monday, 16 April 2012

Picha: Hatimae Chelsea kupambana na Liverpool katika fainali ya kombe la FA Uingereza

  • Yaibugiza Tottenham 5 - 1
  • Mwamuzi awagaia Chelsea goli la pili
Opener: Didier Drogba fires Chelsea in front against Tottenham at Wembley
Drogba akijikunjua na kupiga shuti lililokwenda moja kwa moja nyavuni na kuandika goli la kwanza la Chelsea

... but Chelsea's second goal was given despite the ball not crossing the line
The goal that never was: Juan Mata (right) is awarded a goal despite the ball not crossing the line
Goli la pili la Chelsea walilogaiwa na mwamuzi, kwa sababu mpira ulikuwa haujavuka mstari wa goli lakini mwamuzi akaamua iwe goli

Back in it: Bale slots the ball into the empty net to haul Tottenham back into the game
Gareth Bale akiipatia Tottenham bao la kufutia machozi

Back on track: Ramires clips the ball beyond Cudicini (above) before celebrating his goal (below)
Ramires akiipatia Chelsea goli la tatu

Game over: Frank Lampard curls the ball home for Chelsea's fourth goal as they sea their final spot
Frank Lampard akifunga goli la nne kwa mpira wa adhabu ambao ulieenda moja kwa moja nyavuni

Five star: Florent Malouda slots the ball home to complete Chelsea's rout over Tottenham
Florent Malouda akikamilisha karamu ya magoli

No comments:

Post a Comment